Upo sahihi mkuuLikes kwa likes
Salaam uniqNajua humu hamjambo kabisa
Na iwe njema kwako pia jiraniAsubuhi njema jirani..
Subiri nikusaidie,akili zenu huwa zinahama kutoka kile kichwa kikubwa chenye mabega kwenda kile kidogo kisicho na mabega.[emoji124] [emoji124] [emoji124]Yaani, sijui sisi Wanaume akili zetu huwa zinahamia wapi; Eeh! [emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23]usiku mwema mgumuWe nae! [emoji57]