Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jali mwili wako, hasa utumbo wako.

Ndani ya tumbo lako kunahitaji afya ya hali ya juu. unaweza kutafuta mbinu za kusafisha sumu ilipo ndani yako. Tumia Dawa za antibiotics panapokuwa na umuhimu huo tu. Tena tumia zenye sifa na kuongeza kula chakula unapokuwa unatumia ili kusaidia kazi ya dawa hizo
 
Back
Top Bottom