Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uchovu wa mwili: Mwili unapokosa glucose ya kuzipa seli nguvu, uchovu hutokea.
Uchovu wa mwili: Mwili unapokosa glucose ya kuzipa seli nguvu, uchovu hutokea.
Hasira: Hasira zinaweza kuwa ni sababu ya mwili kukosa nguvu.
Kutoona vizuri: Ugonjwa huu husababisha mtu kushindwa kuviona vitu vizuri. Tatizo hili hutibika lakini mara nyingine hali huweza kuwa mbaya kiasi cha kuwa na tatizo la kudumu au kupata upofu.
Saa yako mbovu....10:58
[emoji23][emoji23][emoji23], ashapewa za nyuma na mbeleUmepata, sema lingine ndugu mgombea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], wapajua?YES! [emoji1]
Hahaha! Carba kakujibu vizuri kweli.Yaani, sijui sisi Wanaume akili zetu huwa zinahamia wapi; Eeh! [emoji15][emoji15]