Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hicho ni nini?Mhhhh [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Busha...nadhani....Hicho ni nini?
Aah! Mie huko hapana.Bado nipo nipo tu yaani. Mwenyekiti na mwanzilishi katutosa so na wanachama tunalega lega tu. Ka Yego kamekuingiza chamani?
Kama anachapwa bakora
Nikusalimie?Nimeitamani hiyo shikamoo basi tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapo ni upasuaji tuView attachment 750761
Je ugonjwa huu hutibika bila kufanyiwa upasuaji?
Bakora bakora au "bakora bakora?"Kama anachapwa bakora
Unauliza tena....Nikusalimie?
Hahahha ngojea nikupe ya kwakoNimeitamani hiyo shikamoo basi tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe Kuna bakola na bakora bakora.Kama anachapwa bakora
mzee kaaga.. anaondoka msimu ukiisha
Basi tufanye ni kichwa cha bomba kinachoongezeka unene kadri kinavyokaribia mwishoni mwa bomba chenye mkunjo mmoja.Bomba limelingana sehemu zote,
Pia lina mikunjo miwili.
Hicho kivuli mwanzoni ni kinene kuliko mbele, pia naona kama sijui nikiite kichwa cha bomba ingawa sielewi sawasawa.