Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

336AF096-44C3-4E2D-BF51-2AAE1E4E1C50.jpeg
 
Kuna kucharazwa bakora... (na mwalimu wako)

Na

"Kuna kucharazwa bakora" (na hubby wako)

Leo naona nimeamka vibaya...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Lakini si wote wanatumia nyenzo (fimbo) ile ile kukutandika hizo bakora??

Au tofauti ni vile hubby anakuchapa akikuonea huruma wakati mwl.hakuonei huruma??
 
Lakini si wote wanatumia nyenzo (fimbo) ile ile kukutandika hizo bakora??

Au tofauti ni vile hubby anakuchapa akikuonea huruma wakati mwl.hakuonei huruma??
Unafahamu tofauti ya konokono na "konokono?"

Ni tofauti hiyo hiyo kati ya bakora na "bakora" [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom