myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
15:05
Da Vinci. Mmojawapo wa binadamu wenye akili na vipaji vingi waliowahi kuishi. Michoro yake mingi wakati wake haikueleweka lakini leo hii baada ya ugunduzi wa kisasa watu ndiyo wameanza kupata fununu. Kuna michoro inayoonyesha helikopita, vifaru, mizinga, madege ya kivita ya kisasa na mengi ya kushangaza - mambo ambayo kwa wakati wake hata kwenye ndoto hayakuwemo. Ni mmojawapo wa wwnasayansi wanaoaminiwa na watu wa Conspiracies kuwa pengine hakuwa mtu wa kawaida; na kwamba alikuwa anaonyeshwa maono na aliens. Inasemekana kuwa ameacha siri zote katika baadhi ya michoro yake mashuhuri tata kama Mona Lisa, the Last Supper, Annunciation na mengineyo....
[emoji445][emoji443][emoji444]Mjini shule, Mjini chuo kikuu[emoji445][emoji443][emoji444]
Wewe ukitaka kusinzia unakuwaga hivyo?Ndiyo
Da Vinci. Mmojawapo wa binadamu wenye akili na vipaji vingi waliowahi kuishi. Michoro yake mingi wakati wake haikueleweka lakini leo hii baada ya ugunduzi wa kisasa watu ndiyo wameanza kupata fununu. Kuna michoro inayoonyesha helikopita, vifaru, mizinga, madege ya kivita ya kisasa na mengi ya kushangaza - mambo ambayo kwa wakati wake hata kwenye ndoto hayakuwemo. Ni mmojawapo wa wwnasayansi wanaoaminiwa na watu wa Conspiracies kuwa pengine hakuwa mtu wa kawaida; na kwamba alikuwa anaonyeshwa maono na aliens. Inasemekana kuwa ameacha siri zote katika baadhi ya michoro yake mashuhuri tata kama Mona Lisa, the Last Supper, Annunciation na mengineyo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji445][emoji443][emoji444]Mjini shule, Mjini chuo kikuu[emoji445][emoji443][emoji444]
Justin Kalikawe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shimba bwana.Wewe ukitaka kusinzia unakuwaga hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hayo maandalizi sasa.
Kwema bro?Nyumbani ni Nyumbani
Tmk wanaume