Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
kifo cha kizembe kile [emoji16] [emoji16] [emoji16]
He is the most Talented, gifted & Genius ever lived in this world. Nilipenda tabia yake ya kununua mifugo/ndege kama mapambo hafu kuwaachia huru..Da Vinci. Mmojawapo wa binadamu wenye akili na vipaji vingi waliowahi kuishi. Michoro yake mingi wakati wake haikueleweka lakini leo hii baada ya ugunduzi wa kisasa watu ndiyo wameanza kupata fununu. Kuna michoro inayoonyesha helikopita, vifaru, mizinga, madege ya kivita ya kisasa na mengi ya kushangaza - mambo ambayo kwa wakati wake hata kwenye ndoto hayakuwemo. Ni mmojawapo wa wwnasayansi wanaoaminiwa na watu wa Conspiracies kuwa pengine hakuwa mtu wa kawaida; na kwamba alikuwa anaonyeshwa maono na aliens. Inasemekana kuwa ameacha siri zote katika baadhi ya michoro yake mashuhuri tata kama Mona Lisa, the Last Supper, Annunciation na mengineyo....
Jibu swali poti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shimba bwana.
Na mimi muhusika pia, mtu akija juu awe na vielelezoWatakuja juu hao...
Safi sana, kwakuwa umeshapata sugu usiache tena kugonga likesNimemwaga likes mpaka kidole kimeota sugu
SafiHabari zenu ndugu zanguni?
Hakika mkuu, kama huna utamaduni wewe ni wa kuogopwa....Kama huna utamaduni ni kama kuna kwenu...
Jkn
Safi, za kwakoMkuu habari...
Hata hivyo joto bado lipo mkuuTumeshaanza kumic lile joto la dar maana hizi mvua hatare
Hata hivyo joto bado lipo mkuuTumeshaanza kumic lile joto la dar maana hizi mvua hatare