Hao watu kero kweli utoton walikua jiran zangu sasa idd wanatualika msosi wa wanaweka kwenye sinia kimbembe wakati wa kula wanakula hivyo hivyo kwa kulamba mikono,tulikua tunapiga tonge mbili tunaaga tumeshiba wanalalamika jaman mbona hamjala hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilikuwa na roomate tulikuwa tunashea kula vyakula boarding school. Siku ya ndizi ilikuwa changamoto kwa kweli. Jamaa anaingiza vidole vyote mdomoni halafu anavilamba tena. Dah !!!
PoaHaha Hahahahaha
Mkuu mambo vipi
HahahahahHaka katoto nako haka mhhh....
View attachment 751115
Bora asingevaa tu jaman[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 751116
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Za Leo za moto moto