Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhani anaweza kuondoka. Sijui, siongei na mtu yeyote wa ndani ya klabu. Lakini ukiangalia mambo kwa nje uhusiano wao hauonekani kuwa mzuri kabisa. Ukitazama kiwango cha mechi ya Jumapili (Dhidi ya West Brom) ni kama vile anasema ‘Sina mpango na kocha anachofikiria, sijali anachofikiria kuhusu mechi ya leo. Sitamsikiliza kwa chochote, naenda tu kucheza kwa jinsi ninavyojisikia,” alichonganisha Scholes.
 
Manispaa ya ilala inajiandaa kuyavunja majengo yote yaliyovamia mkondo wa maji likiwemo jengo hili
tapatalk_1524232954822.jpeg
 
Januari mwaka huu, Mourinho wakati akiwa katika uhusiano mzuri na Pogba alidai Scholes alikuwa anamuonea wivu tu Pogba kwa sababu alikuwa analipwa pesa nyingi huku akidai Scholes alikuwa mchezaji mzuri sana lakini sio mchambuzi mzuri.
 
Back
Top Bottom