Hakuna utayari, mwaga likes mwanzo mwisho kiroho safi, wadau watakushukia na lundo la mzigo wa likes mpaka uombe poooNishagonga tayari
Kwema. Mvua leo tangu asububi....Le kokobanga,mobimba nyenyenye[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema lakini?
Kwanini??Maswali yananifanya nisinzie...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hyo hyo
Hali ya hewa shawishi kwa kupanda mbegu[emoji39][emoji39]Kwema. Mvua leo tangu asububi....
Mmmmh!Mwenzao huyu hapa kutoka Mwakaleli ....[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 751272
Dadake mzima weyeDah!![emoji124] [emoji124] [emoji124]
Shamba ndo adimu sasa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hali ya hewa shawishi kwa kupanda mbegu[emoji39][emoji39]
Maswali mengi yanaleta majibu mengi...Kwanini??
Mmmmmhh!!Ndo kama hivi ishaanza[emoji126][emoji126][emoji126]View attachment 751273
Hahaha acha Tufurahi aisee,,, hatujui kesho itakuaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weekend vibe
Alhamdulillah kakake,sijui weweDadake mzima weye
Doh![emoji30][emoji30][emoji30]Shamba ndo adimu sasa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
HahahahahaMajina yao banaaaa! Juzi nilikutana na jamaa jina lake la mwisho ni Hiscock lol!
Hii ilimaliza ligi bila kufungwa1997-1998
Arsenal
Alan shearer1994-1995
Blackburn Rovers
Maswali mengi yanaleta majibu mengi?Maswali mengi yanaleta majibu mengi...
Unaweza 'kuteleza' wakati wa kujibu
The invincible....Hii ilimaliza ligi bila kufungwa
John barns ,Ian Rush1989-1990
Liverpool