carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Umeona eeh??Hahaha acha Tufurahi aisee,,, hatujui kesho itakuaje
Unaweza rudisha kadi mda huu huu
Umeona eeh??Hahaha acha Tufurahi aisee,,, hatujui kesho itakuaje
Mark vidukaLucas Radebe
Jambo RuttaJambo Africa
[emoji22] nashindwa hadi kueleza ila sitothubutu kukutelekeza kipenzi[emoji6] nimekuhamu mama.Yanapunguaje na wewe unantelekeza kila siku??[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
HahahahahaMsaada: Kwa nini punda ana saksafoni kubwa kuliko binadamu? Naenda kuanzisha sredi sasa hivi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Mwanamke mguuMwanamke guu bana ala !!!
View attachment 751249
Kwema humu bossHakuna utayari, mwaga likes mwanzo mwisho kiroho safi, wadau watakushukia na lundo la mzigo wa likes mpaka uombe pooo
Hahaha sana carba,,,Umeona eeh??
Unaweza rudisha kadi mda huu huu
Sidanganyi...Maswali mengi yanaleta majibu mengi?
Kwani huwa unadanganya?
Kwahiyo unaogopa kuteleza?
NimekaribiaOoh! Polee, karibu tena.
Uhai umeumbwa, kifo kimeumbwa. TumuombeeAmefariki
Wapi hukoLeo Mitaa yangu mvua imepumzika kidogo.View attachment 750748
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sanaLeo Mitaa yangu mvua imepumzika kidogo.View attachment 750748
Akijibu nitag mchinaWatu watasema hicho si kivuli cha bomba hilo,
Jiandae kuwajibu ni kivuli cha nini.
Hakuna wagumu humu wote walaini tuHahahaha! Nategemea hilo swali litatoka kwa WAGUMU.
Heshima yako boss