Nilienda kutafuta kadevice kangu kwenye maporomoko ndio nimekapata saivi. U hali gani bibie?Kichwa Kichafu bebe nimekuona.
Yaani baada ya mvua kuisha ndo umerudi?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa. Nilifikiri "bakora bakora". Upako naona umeanza kupungua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enjoy mkuuHome aloneView attachment 751282
Kwema mkuu za miaka, tunajiandaa kwa Birthday ya Uzi wetu pendwa. Hivyo Memba wote tulioanza nao wanapaswa waanze kujikusanya hapa kwa sherehe itakayofanyika Mlimani city kwa wakazi wa Dar na maeneo ya jiraniKwema humu boss
Ila huyu mzee hatabiriki,,
Hahahahaha dah nimecheka sanaBusha ni chombo kilicho ktk mwili wa binadamu ambacho hupooza na kutunza joto hasa wakati wa kipindi cha joto na hutumika kuupa mwili joto ktk kipindi cha baridi.
Usimwambie mwingine khs jibu hili sawa?
Tunapoza koo kidogoEnjoy mkuu
Zama hizo mkuu[emoji1] kikosi kazi cha hatari hichoJohn barns ,Ian Rush
Niko poaAlhamdulillah kakake,sijui wewe
Sijahama. Tatizo chama hakina viongozi imara.Mkuu unahama hama vyama kwa nini