Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445503244_239560.jpg
 
Da Vinci. Mmojawapo wa binadamu wenye akili na vipaji vingi waliowahi kuishi. Michoro yake mingi wakati wake haikueleweka lakini leo hii baada ya ugunduzi wa kisasa watu ndiyo wameanza kupata fununu. Kuna michoro inayoonyesha helikopita, vifaru, mizinga, madege ya kivita ya kisasa na mengi ya kushangaza - mambo ambayo kwa wakati wake hata kwenye ndoto hayakuwemo. Ni mmojawapo wa wwnasayansi wanaoaminiwa na watu wa Conspiracies kuwa pengine hakuwa mtu wa kawaida; na kwamba alikuwa anaonyeshwa maono na aliens. Inasemekana kuwa ameacha siri zote katika baadhi ya michoro yake mashuhuri tata kama Mona Lisa, the Last Supper, Annunciation na mengineyo....
Lakini inasemekana vile vile alikuwa mchicha mwiba sijui kama kweli
 
Back
Top Bottom