Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na wanaosema wataandamana, waambieni wasifanye hivyo kwani wakiandamana watakwenda kuwasilimulia familia yake,” amesisitiza Biswalo

Pia, amevionya vyombo vya habari ambavyo vinavyoweza kuchangia uvunjifu wa amani, hatua zitachukuliwa hivyo kuvitaka kuwa makini na kutimiza wajibu wao kwa kufuata misingi ya taaluma yao.
 
Mbali na kumkinga mtumiaji na mimba zisizotarajiwa faida nyingine kubwa ya kondom ni kutopata maambukizi mapya ya virusi vya ugonjwa wa Ukimwi (VVU).

Zamani wengi waliona aibu kunua zana hiyo hasa wanawake. Lakini kazi ya maambukizi ya ukimwi iliwafanya wengi kuwa makini katika matumizi ya kondomu japo wapo wanaopuuzia bado.
 
Tanzania ni kati ya nchi zilizojitahidi kupambana na maambukizi hayo kwa kuwa na mikakati mbalimbali, moja wapo ikiwa ni kuihamasisha jamii ijikite katika matumizi ya kondom (mipira ya kike na kiume).

Takwimu za maambukizi ya VVU zilizotolewa mwaka jana kupitia utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi Tanzania zinaonyesha kiwango kimepungua kutoka asilimia 5.4 mwaka 2011/2012 hadi asilimia 4.7 mwaka 2016/2017.
 
Wauzaji wa kondom katika maduka ya dawa wanaizungumziaje biashara ya bidhaa hiyo

Wauzaji wa maduka ya dawa wanasema idadi ya wanawake wanaofika kununua kondom inaongezeka siku hadi siku. Mfanyabiashara wa duka la dawa katika eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam, Mshino Nelson anasema wateja wake wengi ni wanawake wenye miaka kati ya 20 hadi 40
 
Kati ya wateja wangu watano wanaonunua kila siku, wawili ni wanawake na wao hununua bila woga na hawaoni aibu kabisa,” anasema.

Mfanyabiashara mwingine wa duka la dawa aliyepo Kariakoo, Anitha Neto anasema sio kama zamani, matumizi ya kondom kwa jamii limekuwa jambo la kawaida kwao.
 
Mbona ndo vizuri?
Miaka mingi mlikuwa mnataka babu aondoke sasa kaamua kuondoka mnajifanya kuhuzunika khaa!![emoji115][emoji115][emoji115]mimi nina harakati gan cole??
Asikusumbue man u huyo anasikitika babu kuondoka sababu man u waliigeuza arsenal kapu la kuzolea point za bure bure so kocha atakayekuja atabadili matokeo
 
Back
Top Bottom