Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pamoja na kununua kondom yangu, bado uamuzi wa mwisho upo kwa mwanaume mwenyewe kwamba atumie au asitumie. Lakini bora uwe nayo kwanza, sasa usiulize alikubali au alikataa kuitumia, hiyo ni hoja nyingine” anasema Mercy huku akicheka na kuondoka kwenye eneo tulilokuwa tunaongea.