Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kabisaa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwema asee, uko poa?

Wapi hiyo jirani..Mkoromije alipotinga Ulaya....
View attachment 751481
[emoji120] [emoji120] Mungu ni mwema sana.Kabisaa. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sawa!Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani. Kuna jirani yangu hapa katoka kazini, kafika Sinza mori kakuta pweza, basi akala pweza wa elfu moja na kachori za mia tano. Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia.
Baadaye kaelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe, kamuomba maji ya kunywa, alipopewa akayanywa kisha akavua viatu. Mkewe akamtengea maji ya kuoga, baada ya kuoga akawa anapitia madaftari ya wanawe. Alipomaliza akajumuika na familia kwaajili ya chakula cha usiku.
Wakalala huku wamefunga milango yote. Asubuhi kaamka, baada ya kuoga kavaa vizuri tu na kwenda kazini. Kwa ujumla yuko vizuri tu katika kazi na anapiga kazi kama kawaida..
Kama hujaipenda nawe andika ya kwako.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani. Kuna jirani yangu hapa katoka kazini, kafika Sinza mori kakuta pweza, basi akala pweza wa elfu moja na kachori za mia tano. Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia.
Baadaye kaelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe, kamuomba maji ya kunywa, alipopewa akayanywa kisha akavua viatu. Mkewe akamtengea maji ya kuoga, baada ya kuoga akawa anapitia madaftari ya wanawe. Alipomaliza akajumuika na familia kwaajili ya chakula cha usiku.
Wakalala huku wamefunga milango yote. Asubuhi kaamka, baada ya kuoga kavaa vizuri tu na kwenda kazini. Kwa ujumla yuko vizuri tu katika kazi na anapiga kazi kama kawaida..
Kama hujaipenda nawe andika ya kwako.
Sweden jirani... [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Wapi hiyo jirani..
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani. Kuna jirani yangu hapa katoka kazini, kafika Sinza mori kakuta pweza, basi akala pweza wa elfu moja na kachori za mia tano. Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia.
Baadaye kaelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe, kamuomba maji ya kunywa, alipopewa akayanywa kisha akavua viatu. Mkewe akamtengea maji ya kuoga, baada ya kuoga akawa anapitia madaftari ya wanawe. Alipomaliza akajumuika na familia kwaajili ya chakula cha usiku.
Wakalala huku wamefunga milango yote. Asubuhi kaamka, baada ya kuoga kavaa vizuri tu na kwenda kazini. Kwa ujumla yuko vizuri tu katika kazi na anapiga kazi kama kawaida..
Kama hujaipenda nawe andika ya kwako.
Wasalimie wote pande hizo....Lala salama[emoji120] [emoji120] Mungu ni mwema sana.
[emoji124][emoji124]Wacha nilale. Tupatane kesho
hahaaa hahaa....huwa nakwambiaga kuwa bangi sio mchicha ..lakini hunielewi...siku sio nyingi utakuja kumtongoza mkweo """Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani. Kuna jirani yangu hapa katoka kazini, kafika Sinza mori kakuta pweza, basi akala pweza wa elfu moja na kachori za mia tano. Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia.
Baadaye kaelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe, kamuomba maji ya kunywa, alipopewa akayanywa kisha akavua viatu. Mkewe akamtengea maji ya kuoga, baada ya kuoga akawa anapitia madaftari ya wanawe. Alipomaliza akajumuika na familia kwaajili ya chakula cha usiku.
Wakalala huku wamefunga milango yote. Asubuhi kaamka, baada ya kuoga kavaa vizuri tu na kwenda kazini. Kwa ujumla yuko vizuri tu katika kazi na anapiga kazi kama kawaida..
Kama hujaipenda nawe andika ya kwako.
Hongera jirani kwa kutimiza wajibu...Sweden. Vinapenda weusi balaa. Sikuviangusha. Vibinti [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji28], unapotea wewePweza amefanya maajabu yake? [emoji1][emoji1]
You got me. Yaani nimesoma kwa uangalifu mbaya. Itabidi uufidie huu muda nilopoteza aisee....Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani. Kuna jirani yangu hapa katoka kazini, kafika Sinza mori kakuta pweza, basi akala pweza wa elfu moja na kachori za mia tano. Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia.