Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jizazi Kiraisti...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye anakula nami nakula, tunakulana.
Jizazi Kiraisti...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye anakula nami nakula, tunakulana.
Ana mwandiko mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23]Jizazi Kiraisti...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli. Ni kumumunya wakati wa kumumunya ungalipo....Mifupa inavunjwa meno yakiwepo..
.....Kufika kileleni au kufika mshindo kwa lugha ya kitabibu hujulikana kama ‘orgasm’ na kwa lugha ya Kiingereza huitwa ‘coming’ au ‘climaxing’.
Ni tukio linalohusisha usisimuliwaji wa kimwili na kiakili, makala hii itajikita katika aina ya kufika kileleni inayotokea wakati wenza wawili wanaposhiriki tendo la ndoa.
Weka mbali na WAGUMU[emoji23][emoji23]Kufika kileleni ni msisimko wa kipekee unaoleta hisia nzuri kwa wenza wawili wanaowajibika kikamilifu katika tendo la ndoa. Hisia hizi hutokea kwa wenza wote kama ishara ya kufikia kilele cha tendo.
Hisia hizo huambatana na mtiririko wa matukio kadhaa yanayohusisha mfumo wa fahamu (ubongo na mishipa ya neva), damu na moyo na maeneo mengineyo ikiwamo viungo vya uzazi.
duuuuuhhh""Yeye anakula nami nakula, tunakulana.
.........Kufika kileleni kwa baadhi ya wanawake huambatana na kutoa maji maji yanayosukumwa toka kwenye sehemu zake za siri kwa kasi. Maji maji haya huwa siyo haja ndogo kama inavyodhaniwa mitaani.
Kwa kawaida maji hayo hutokea ndani ya tezi ambayo mdomo wake upo jirani na tundu la njia ya haja ndogo.
he he heheee ""Kufika kileleni kwa baadhi ya wanawake huambatana na kutoa maji maji yanayosukumwa toka kwenye sehemu zake za siri kwa kasi. Maji maji haya huwa siyo haja ndogo kama inavyodhaniwa mitaani.
Kwa kawaida maji hayo hutokea ndani ya tezi ambayo mdomo wake upo jirani na tundu la njia ya haja ndogo.
[emoji23][emoji23][emoji23], kwema lakini?hahaaa hayo nimatokeo ya uvutaji bangi pia...so sikushangai aisee