Huuu uziii nimetoka sekunde chache..... Nimekuta ushaniacha ushirombo... Mko vizuri
Poa kabisa. Kwema?
sawa mkuu..inapendeza aiseeKwema kabisa.
Asante mamie.Tezi hiyo inaitwa tezi ya Skene kwa lugha ya kitaalamu, ndani yake huwa na majimaji meupe.
Ufafanuzi huu utakuwa umewapa jibu kwa wale ambao huniuliza mara kwa mara kuhusiana na jambo hili.
Kwa upande wa wanaume, kufika kwao kileleni huambatana na kupata hisia nzuri za kipekee na kutoa majimaji mazito ambayo yana mbegu za kiume.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]sawa mkuu..inapendeza aisee
Home tu, nikila likes za kumwaga..Safi kabisa, weekend vipi? Wapi uelekeo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuwa kama wale vijana kutoka Sudan ya Kusini? Walipewa jina la “Lost Boys”, walipotinga US wakawachangamkia mababe wa huko. Sasa hivi Child Support zinawalamba vibaya! Na mababe wao walishawakimbia! [emoji1][emoji1]
Cont..Mwanamke anaweza kufika kileleni zaidi ya mara moja muda mfupi tu tangu alipofika kileleni mara ya kwanza na ataendelea kupata hisia hizo endapo ataendelea kusisimuliwa, hisia hizi hudumu kwa sekunde 15 hadi 60.
Mwanamke kufikishwa kileleni na kuridhika ni jambo ambalo linahitaji ushirikiano na kuelewana kwa wenza wawili wanaoshiriki tendo hilo hasa katika maandalizi ya awali.
sasa siwakimbie nchi tu ""Balaa lote hilo lanini" kama hela hawana"""kwani hawajui alichokifnya kaka yao lemutuz
Home tu, nikila likes za kumwaga..
Wataka unywe Amarula muda huu ugundue nini??Vipi Amarula/Amalura? Ipo nije saa hii? [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]