Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani. Kuna jirani yangu hapa katoka kazini, kafika Sinza mori kakuta pweza, basi akala pweza wa elfu moja na kachori za mia tano. Akaomba na supu ya pweza ya mia tatu akashushia.
Baadaye kaelekea nyumbani kwake kamkuta mkewe, kamuomba maji ya kunywa, alipopewa akayanywa kisha akavua viatu. Mkewe akamtengea maji ya kuoga, baada ya kuoga akawa anapitia madaftari ya wanawe. Alipomaliza akajumuika na familia kwaajili ya chakula cha usiku.
Wakalala huku wamefunga milango yote. Asubuhi kaamka, baada ya kuoga kavaa vizuri tu na kwenda kazini. Kwa ujumla yuko vizuri tu katika kazi na anapiga kazi kama kawaida..

Kama hujaipenda nawe andika ya kwako.
 
Sawa!
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 

Pweza amefanya maajabu yake? [emoji1][emoji1]
 
hahaaa hahaa....huwa nakwambiaga kuwa bangi sio mchicha ..lakini hunielewi...siku sio nyingi utakuja kumtongoza mkweo """
 
You got me. Yaani nimesoma kwa uangalifu mbaya. Itabidi uufidie huu muda nilopoteza aisee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…