Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante mamie.
 
Hakuwa kama wale vijana kutoka Sudan ya Kusini? Walipewa jina la “Lost Boys”, walipotinga US wakawachangamkia mababe wa huko. Sasa hivi Child Support zinawalamba vibaya! Na mababe wao walishawakimbia! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cont..
 
sasa siwakimbie nchi tu ""Balaa lote hilo lanini" kama hela hawana"""kwani hawajui alichokifnya kaka yao lemutuz

Tatizo walienda kule wakiwa vijana wadogo, kwao ndio nchi wanayoijua kuliko hata huko walikotoka. Pamoja na hayo, huo msala karibu wanaumaliza kwani mtoto akishafikiasha miaka 18 anaanza kivyake, anakuwa ni mtu mzima tayari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…