Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23], mie nipo mtoni nakoga.
Hahaaa, umenikumbusha mambo ya kukoga ziwani! Wanaume hapa, mita kumi kutoka hapo; Wanawake! Jamani. [emoji23][emoji23]
[emoji23], mie nipo mtoni nakoga.
[emoji23][emoji23][emoji23], uliwahi kuoga mtoni/ Ziwani??Hahaaa, umenikumbusha mambo ya kukoga ziwani! Wanaume hapa, mita kumi kutoka hapo; Wanawake! Jamani. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23], uliwahi kuoga mtoni/ Ziwani??
Au ulisoma kiumeni pale jirani na ziwa?
Ok, nkafikiri umesoma pale,, mwendo wa kuchunguliana juu ya mawe[emoji16][emoji23]Wala sijasoma pale kiumeni jirani na ziwani na dada zao kwa pembeni! Kuogelea ziwani/Baharini, yes!