carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hata kama si mwanafunzi wake yaweza kiwa mtu mwingine huko mtaani akamkatia[emoji2][emoji2]Jipe muda. Kukatiwa utakatiwa tu. Kanafunzi kako kale kapoti kenye ugumu wa bandia kale kuna siku katakukatia. We endelea tu kucheza nako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]