carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sana halafu usikute huko waliko full magego[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wakatili jamani. Ikiwezekana wakataji hawa wapigwe na radi ili wakatiwaji muweze kupumzika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapigwe tu radi kwakweli ila mmmh!!hii radi ikinirudia mimi je??[emoji23][emoji23]