carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Haya tangulia naja,sasa ole wako upitie kijiwe kingineNarudi kukusubiri [emoji35] [emoji35]
Haya tangulia naja,sasa ole wako upitie kijiwe kingineNarudi kukusubiri [emoji35] [emoji35]
We ulishawahi kukatiwa kwani?Ni kumuombea tu kuwa na yeye iko siku yatamkuta,malipo hapahapa ohooo[emoji23][emoji23]
Majibu ya mwaswali yote ni ndiyo[emoji23][emoji23]We ulishawahi kukatiwa kwani?
Baadaye naye ulimkatia?
Malipo kweli ni hapa hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeeeee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majibu ya mwaswali yote ni ndiyo[emoji23][emoji23]
Ila cha ajabu mkataji hajui kama analipia,yeye utamsikia malipo ni hapahapa(kwa sauti ya huzuni)[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Upo majukumuni shemu au nawe wamekukatia?
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]malipo huwa hayacheleweshwi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Aiseeeeee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wameukata[emoji17][emoji17][emoji17]Upo majukumuni shemu au nawe wamekukatia?
Kuna la kufanya malipo yakiwa hayalingani kwa ukali na ukatili na unacholipia? Life is not fair...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]malipo huwa hayacheleweshwi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Watu wakatili jamani. Ikiwezekana wakataji hawa wapigwe na radi ili wakatiwaji muweze kupumzika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameukata[emoji17][emoji17][emoji17]
Hahahahaha!Ulikuwa hujui?
Sasa utafanyaje?tatizo ni kwamba huwezi pima ukali la sivyo tungejua kama malipo huwa kwa kiwango kilekile ama zaidi au pungufuKuna la kufanya malipo yakiwa hayalingani kwa ukali na ukatili na unacholipia? Life is not fair...