ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
I guess ni umashuhuri wao tu ndo maana.Watu wanakufa kila siku kwa maelfu mpendwa na probability ya watu waliozaliwa siku moja kufa siku moja sidhani kama ni jambo la ajabu sana hasa ukizingatia kuwa sample ni mabilioni ya watu. Au kwa vile hawa ni watu "mashuhuri?"