Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ulikuwa hujui?Asante mamie.
Shem/JT. Uliaga kuwa unakwenda kulala. Umekukatikia? Au kuna mtu kaukata?
[emoji23][emoji23][emoji23]Shem/JT. Uliaga kuwa unakwenda kulala. Umekukatikia? Au kuna mtu kaukata?
Kawaida tu hiyo. Hakuna cha ajabu hapo!!!What a coincidence wamezaliwa tarehe sawa na wamefariki tarehe sawa aseee [emoji80][emoji120]R. I. PView attachment 751529
Dooh basi mie sijawahi kusikia situation kama hiiKawaida tu hiyo. Hakuna cha ajabu hapo!!!
Watu wanakufa kila siku kwa maelfu mpendwa na probability ya watu waliozaliwa siku moja kufa siku moja sidhani kama ni jambo la ajabu sana hasa ukizingatia kuwa sample ni mabilioni ya watu. Au kwa vile hawa ni watu "mashuhuri?"Dooh basi mie sijawahi kusikia situation kama hii
Anacheza gemu ile ile ya babake na babu yake...North Korean leader Kim Jong-un has said the country will suspend all missile tests and shut down a nuclear test site, state media say.