Kwa hio utafanyaje kama utakuwa umerudi kwenye tabia yako ya zamani?
Kama umerudi katika hali hio, endelea kula taratibu kwa kusikiliza hicho unachokula , kula tu chocolate bar, furahia kila kitu , nyama za kukaanga, kuchoma, kunywa pombe. lakini kila kitu kula kwa kusikilizia ndani ya mwili wako. Utajisikia jinsi hali yako inavyobadilika.