salama tu madame """Salama mkuu za kwako?
Mgonjwa unaendeleaje ?Kwa hio utafanyaje kama utakuwa umerudi kwenye tabia yako ya zamani?
Kama umerudi katika hali hio, endelea kula taratibu kwa kusikiliza hicho unachokula , kula tu chocolate bar, furahia kila kitu , nyama za kukaanga, kuchoma, kunywa pombe. lakini kila kitu kula kwa kusikilizia ndani ya mwili wako. Utajisikia jinsi hali yako inavyobadilika.
Jamani jamani, watu wana nini lakini?
Ila kuna watu[emoji58] [emoji58]