Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke kwangu akiwa na " wowowo " simtazami vile vile hanisisimui ila akiwa mwembamba hapo ananikamata, mfano mzuuuuuri wazungu wa mitaa ya Brentford uingereza ni wembamba wazuri balaa... [emoji87]
Sawa mkuu !!!

Ngoja nidundulize vinauli nami siku moja nikwee pipa kwenda hiyo mitaa ya Brentford kujionea wasichana wa kizungu wembamba wazuri balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwema lakini?
 
Back
Top Bottom