Ulifikiria nn Kabla ya kuanzisha huu uzi?Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Hehehe haya bana ....ukute anda eitini unanizingua tuSistahili kivipi? Kiumri ama? Kama ni kiumri nastahili kabisa kwa sababu mi muhenga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana. Maandaeitini wa humu mnajulikana. Na wahenga wa humu tunajulikana. Yote kwa yote asante kwa shikamoo yako. Si kila andaeitini anaweza kutoa shikamoo - hasa siku hizi...Hehehe haya bana ....ukute anda eitini unanizingua tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana. Maandaeitini wa humu mnajulikana. Na wahenga wa humu tunajulikana. Yote kwa yote asante kwa shikamoo yako. Si kila andaeitini anaweza kutoa shikamoo - hasa siku hizi...
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hapana. Maandaeitini wa humu mnajulikana. Na wahenga wa humu tunajulikana. Yote kwa yote asante kwa shikamoo yako. Si kila andaeitini anaweza kutoa shikamoo - hasa siku hizi...
Kwema Bro naona siku imeshika kasiKatika uzi wa like duh !!!
Kwema bro?
So we all lieIt is a survival strategy. Scientists now believe that it is universal to all species....
Andaeitini unaongelea uhenga? Subiri uhenga utaufikia tu kwani huwa haukawii. Subiri miaka 15 ijayo halafu ulete mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata wahenga siku hizi tunashida kidogo tukisalimiwa hatuitikii kwa madai tunazeeshwa[emoji58]
Daah I feel guilty but no way out
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aki shimba[emoji58]Andaeitini unaongelea uhenga? Subiri uhenga utaufikia tu kwani huwa haukawii. Subiri miaka 15 ijayo halafu ulete mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].