Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20180421-WA0007.jpg
 
Mchekeshaji maarufu, muigizaji na mshindi wa Shindano la Big Brother Afrika mwaka 2014, Idris Sultan amepata dili la kuwa balozi wa chapa ya kampuni ya usafiri ya Uber nchini.

Idris alitangazwa rasmi jana na kampuni hiyo ambapo Meneja Masoko wa Uber Kanda ya Afrika Mashariki, Elizaberth Njeri amesema kampuni hiyo ilifanya utafiti kwa miezi kadhaa ili kujua nani anawafaa, na Idris ameonekana sahihi kwao kutokana na mtindo wake wa maisha
 
Idris Sultan ni mcheshi, msanii ambaye hafanyi mambo yake kwa mazoea, pia anaheshimika katika tasnia ya uchekeshaji, tamthilia, na utangazaji wa vipindi vya redio. Tuna imani kwamba Idris atailetea Uber tija kubwa kwa sababu yeye anawasiliana na mashabiki wake kupitia mitandao ya jamii kila wakati,” amesema Njeri.
 
Back
Top Bottom