Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SWALI FIKIRISHI. Ndugu wagonga likes. Tujiulize. Mmoja wetu akipatwa kama yalivyompata dada Agnes Masogange, tutakua na msaada na ushiriki gani kwenye hali kama hii tuliyonayo ya upendo wa kuficha IDs zetu?
Tutatoa pole ya mdomo mambo kwisha,anonymous for life

Kila mtu ana familia yake,ana jumuiya yake,mtaan anao marafiki,kuna magrup ya kila aina watsup na majukumu kibao mkuu tusiende mbali kuchoshana kwa kusema tuanze changiana au kufahamiana zaid ni mwanzo wa uhasama pesa sio rafiki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…