Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.KUJUTIA KILA KOSA


Yaani
kama mpaka leo bado unaendelea
kujutia kosa ulilofanya muda mrefu uliopita unajivunja moyo wako.
Kumbuka katika kipindi ulichokosea,
ulifanya kutokana
na uelewa na uzoefu uliokuwa nao
muda ule na sio sasa.
 
Yawezekana kabisa,
uchanga wa akili
ndio ulikufanya ufanye vile
ulivyofanya,
na ndio maana kama ungepewa nafasi ya leo kufanya maamuzi
uliofanya miaka iliyopita
usingefanya kama vile hata kidogo.
Muda na uzoefu vinatupa nafasi ya kufanikiwa katika yale tunayoyafanyia maamuzi,
kwa hiyo sahau yaliyopita songa mbele.
 
3.KUWAPOTEZEA WANAOKUPENDA


Unajua
kuna kipindi unakuwa na watu
wanakuonyesha upendo halafu wewe unashindwa kuwaonyesha shukrani.
Hii ni sawa na
kujiandalia bomu ambalo litakuja
kukulipukia siku ile watakapoondoka kabisa machoni pako.
 
4.KURUHUSU MATAMANIO KUKUTAWALA


Kuna kipindi tunafanya uamuzi mbaya,
sio kwasababu ni wabaya ila
ni kwasababu
tumejali zaidi kuwafurahisha wengine
kuliko fahari yetu.
Unapokubali
kufanya uamuzi wa tamaa ya kutaka
uonekane mtu fulani
ni
kujitengenezea uasi wa ndani.
 
F0BC28CC-EE81-4630-B6C9-53D6545AEF6B.jpeg
 
5.KUTAKA KUBISHANA KILA HOJA


Kuwa shujaa sio kupigana kila vita
inayokuja mbele yako,
au
si kujibu kila shutuma dhidi yako.
Kama unaona hilo jambo
litakushushia heshima na utu wako,
ni heri ukaachana nayo ili yasiweze kuzaa mengine mapya
na mabaya zaidi.
 
Nalilia kukosa ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]roho inauma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bana bana unanchekesha ,kwenye uzi wa msiba wa agi kuna ubuyu kuwa shilawadu jana walikua wanajiandaa kumsunta agi kwa kutelekeza mtoto bila matunzo sasa jion waliposikia habar za msiba naona ishu ikabuma walikua wameshampiga picha mtoto na maelezo ya kila aina
 
Back
Top Bottom