Honesty humu sio watsup mkuu ndo maana hakuna kitu cha kuwaza majanga yakimpata mwenzetu inakuaje,anayetaka anaweza jilipua na kupewa msaada. Kwa upande wangu nahitaji LIKES ZENU TU, mamno mengine watamaliza familia yangu,ndugu jamaa na marafiki wanijuao huku nilipo.Hivi inawezekanaje mwaka mzima tupo pamoja hapa tukitaniana, lakini mmoja wetu akitangulia tusiwe na taarifa na hata tukiwa na taarifa tusiweze hata kufika kushiriki kwenye tukio. Hivi tunafanyaje wakuu?
Unamlilia ngabu au?huo uzi unamhusu yeyeJamaniii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
Ila tunakumbukumbu ya events zilizotokea in 1923
Wabheja poti handsome
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]ushapona sasa.
Naona nimekosa ubuyu wa fisadi