Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani[emoji23][emoji23][emoji23]acha tu.
Aliyenikatia jana namuona alivyonikosesha ubuyu mimi,halafu na vile hana adabu kaukata hadi mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waaaaiiii.

Mzima lakin?
Hahahahaha!! Kama vipi shindaneni kukatiana..

Huku kwema kabisa. Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu [emoji23][emoji23], nimekumbuka uandishi wa barua za kirafiki.
 
855F17CE-D7E1-4661-AFF6-991C56479F78.jpeg
 
Back
Top Bottom