moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wewe umesomeka, nadhani kutakuwa na maoni ya wengineTutatoa pole ya mdomo mambo kwisha,anonymous for life
Kila mtu ana familia yake,ana jumuiya yake,mtaan anao marafiki,kuna magrup ya kila aina watsup na majukumu kibao mkuu tusiende mbali kuchoshana kwa kusema tuanze changiana au kufahamiana zaid ni mwanzo wa uhasama pesa sio rafiki kabisa