Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

CE5ED785-8EEF-42C8-8247-7F5646B4EC7A.jpeg
 
Unadhani kuna matukio mengine ambayo unahisi ukiyafanya yatakuonyesha wewe si mtaalamu?

Kuna matukio ukiwa unayafanya yanakutafsiri moja kwa moja kuwa wewe si mtaalamu wa shaghuli unayofanya.
kwa mfano ukiwa:

*Unachelewesha kazi za watu;

*Unahudhuria vikao ukiwa haujajiandaa;
 
Hebu leo tuangalie njia kumi utakazoweza kutumia kuwa mtaalamu katika shughuli yoyote unayofanya:

Jitahidi kufanya shughuli zako kitaalamu na watu waweze kukuamini,
kukuheshimu,
na kukuona una uwezo wa kipekee.
Japo
mazingira ya kila kazi
yanatofautiana lakini
linapokuja suala la utaalamu huwa
na tafsiri moja dunia nzima.

Hebu tuangalie sifa za kuwa mtaalamu ni zipi:
 
Mie kwa upande wangu, naona cha muhimu ni kukufariji tu kama umeondokewa na mtu wako wa karibu (ndugu/rafiki)..kwa maneno yenye faraja na kukutia moyo..Kuhusu mambo ya pesa atakayeguswa kukupatia atakufuata faragha..sio sheria.

Endapo atakuwa kafariki member mwenzetu,,tutahuzunika kumkosa, pia tutamwomba tu Mungu akapate kuifariji familia yake, ndugu na jamaa...

LAKINI mambo ya pesa hapana, ukiona maji yamekufika shingoni mfuate unayeona anaweza kuwa msaada kwako..
Lakini swali letu halijaulizia mambo ya pesa, maana kuulizana pesa pasina kujuana jinai huanziaga hapo
 
Back
Top Bottom