Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna page huwa sizielewi yaani hawaeleweki leo watakupamba na mapambo yote kesho wanaanza kukuponda[emoji23][emoji23]baby ake anaongoza.

Ndo njia ya wote hiyo,kikubwa ni kuishi maisha yanayompendeza Mungu[emoji120][emoji120]
 
Hahahahaha!! Kama vipi shindaneni kukatiana..

Huku kwema kabisa. Hofu kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu [emoji23][emoji23], nimekumbuka uandishi wa barua za kirafiki.
Ananijua vyenye namkatiaga[emoji23][emoji23]ajiandae.

[emoji23][emoji23]utaanza kuuliza habari za mvua humo,sijui kuku ka wametaga,jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…