Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DFB42375-9CCE-46DA-948E-CAA57726FE64.jpeg
 
Venting..Yes inasaidia. Mwache mtu atoe sumu. Alie. Halafu baadaye mkumbatie tu na kumwambia kuwa unampenda na kumjali, and that you are there for him/her. It works most of the time...
Kweli, japo kuna wengine instead of kumuacha atoe sumu/alie, na yeye anakuja juu au anaondoka na harudi hadi baada ya siku kadhaa japo hii pia husaidia.
 
Back
Top Bottom