Venting..Yes inasaidia. Mwache mtu atoe sumu. Alie. Halafu baadaye mkumbatie tu na kumwambia kuwa unampenda na kumjali, and that you are there for him/her. It works most of the time...
DAB ze gretesti...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa dar mjiandae[emoji124] [emoji124] [emoji124]
RC Makonda kupima tezi dume nyumba kwa nyumba
HaelewekiWe unamuelewa?
No you are NOT !!![emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Kweli, japo kuna wengine instead of kumuacha atoe sumu/alie, na yeye anakuja juu au anaondoka na harudi hadi baada ya siku kadhaa japo hii pia husaidia.Venting..Yes inasaidia. Mwache mtu atoe sumu. Alie. Halafu baadaye mkumbatie tu na kumwambia kuwa unampenda na kumjali, and that you are there for him/her. It works most of the time...
Kwa kweli.Haeleweki
Si jambo la kawaida sana, na nlidhan huenda hajui La anajua anachofanya sina tatzo mkuu .. HER CHOICE!!Mizimu na ibada za mashetani vinakutisha kamanda? Hapa ni kila mtu na lwake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa duniani ni kila mtu na lwake mkuu. Sabato imeishaje?Si jambo la kawaida sana, na nlidhan huenda hajui La anajua anachofanya sina tatzo mkuu .. HER CHOICE!!