[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Tuhurumie acha kututisha tukalale jamani!
Vipi hivyo??Ushapata vile vitu vyako?
Naona unataka kwenda ku mourn[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Cha kufanya katika hali kama hii (kama anavyoshauri Lao Tzyu) ni kuangalia udhaifu wa hao wanyama mmoja mmoja kabla hujakata shauri. Ukishajua udhaifu wao na ukawa na dhamira kabisa ya kuishi basi amua jinsi udhaifu huo utakavyoweza kukusaidia. Mf. Simba, japo ni wakali lakini ni waoga hasa mbele ya binadamu. Hata kama hiyo bastola yake ina risasi moja anaweza kuipiga kwa huyo simba na hata asipompata simba huyo ni lazima atakimbia. Je, nyoka huyo ana sumu au ni wale wanaotegemea akubinye mbavu akumeze mzima mzima? Kama hana sumu kuna njia za kupambana nao hasa ukimshika kichwani na kumminya kwa nguvu zako zote mpaka anakata pumzi. Unaweza hata kumuuma shingoni au ukajaribu kumtoboa macho. Mamba pia wako sensitive kwenye macho yao na ukitia madole yako humo mamba wengi watakuachia uende zako.UngefanyajeView attachment 752226
Jamaniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unataka kwenda ku mourn[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sijui niseme ni horrow,ushawahi ona vampire diaries ama teenwolf??Inaonekana iko poa?
Ni horrow au action?
Thank You UnitedUnited 2 Tot 1 dak 63
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuhurumie acha kututisha tukalale jamani!
Anajikaza tu[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro Lao Tzyu ndo nani?Cha kufanya katika hali kama hii (kama anavyoshauri Lao Tzyu) ni kuangalia udhaifu wa hao wanyama mmoja mmoja kabla hujakata shauri. Ukishajua udhaifu wao na ukawa na dhamira kabisa ya kuishi basi amua jinsi udhaifu huo utakavyoweza kukusaidia. Mf. Simba, japo ni wakali lakini ni waoga hasa mbele ya binadamu. Hata kama hiyo bastola yake ina risasi moja anaweza kuipiga kwa huyo simba na hata asipompata simba huyo ni lazima atakimbia. Je, nyoka huyo ana sumu au ni wale wanaotegemea akubinye mbavu akumeze mzima mzima? Kama hana sumu kuna njia za kupambana nao hasa ukimshika kichwani na kumminya kwa nguvu zako zote mpaka anakata pumzi. Unaweza hata kumuuma shingoni au ukajaribu kumtoboa macho. Mamba pia wako sensitive kwenye macho yao na ukitia madole yako humo mamba wengi watakuachia uende zako.
Tatizo kubwa ni kwamba unapokuwa katika kasheshe kama hii unapaniki na akili haifanyi kazi sawa sawa. Na mara nyingi hicho ndicho huwa kinatuangamiza. Ndiyo maana kwenye mafunzo ya ujasusi wanasisitiza sana calmness na composure mbele ya hatari za kila aina. Kama huwezi kuwa calm katika hali za kila aina hufai kuwa shushushu na utauliwa tu...
...na gazeti linaishia hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na mambo ya ku-mourn. Twende nikakushow jinsi ya kununua tokens za umeme [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Anajikaza tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu kibaya kama kifungo[emoji124] [emoji124] [emoji124]