Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro Lao Tzyu ndo nani?
Pia ni kweli kabisa kwenye situation kama hii inabidi uwe calm sema tayali utakuwa umeshapaniki na ukipaniki ndo basi tena unakuwa chakula cha hao jamaa
Pengine nimekosea spelling za jina lake. Ni general mmoja zamani sana huko Asia aliandika kitabu cha mbinu za kivita kinachoitwa The Art of War. Kitabu hiki kinasomwa si tu na makamanda wa vita bali hata viongozi wa mashirika makubwa na kinafaa hata katika kiwango cha binafsi. Ninacho soft copy kama unakitaka. Kimeandikwa kirahisi rahisi tu na kinasomeka kwa urahisi.
 
Achana na mambo ya ku-mourn. Twende nikakushow jinsi ya kununua tokens za umeme [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
View attachment 752327
[emoji23][emoji23][emoji23]token za stima eeh??
Naja ASAP[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
wale wa tezi dume[emoji2] [emoji2]
IMG-20180421-WA0032.jpg
 
Pengine nimekosea spelling za jina lake. Ni general mmoja zamani sana huko Asia aliandika kitabu cha mbinu za kivita kinachoitwa The Art of War. Kitabu hiki kinasomwa si tu na makamanda wa vita bali hata viongozi wa mashirika makubwa na kinafaa hata katika kiwango cha binafsi. Ninacho soft copy kama unakitaka. Kimeandikwa kirahisi rahisi tu na kinasomeka kwa urahisi.
Itakuwa vizuri kama ntakipata niongeze maarifa
 
Back
Top Bottom