Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wamepambana aisee. Imagine kutengwa hivi kisa tu rangi ya ngozi yako. Mpaka leo Alabama huko bado mabaguzi tu ma hillibillies...halafu yanajifanya mashika dini makereketwa !!!
Hii vita ni kubwa bro na bado inaendelea, ni maneno tu tunapewa sie weusi kuwa ubaguzi umeisha lkn hakuna ktu km hcho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…