Sasa hilo ni tatizo kweliHana !!!
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Afadhal aisee
Mfano akikubali je halafu mimi sitaki itakuwaje hapoSitumii jicho la tatu natumia jicho la amina kucheki... [emoji23] [emoji13]
Hahah!! Wizi wa nyota umezuiwa hapoMambo ya kupeana gundu watu hawataki, ukileta mkono wa salam watu wanapotezea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Subiri utaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, hawezi fika kwenye jomoni. Duuuu
[emoji8][emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hii kweli aisee BroNchi huko mbali. Mtu unabaguliwa kwenye familia sembuse nchi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu kama hicho.... [emoji13] [emoji23]Mfano akikubali je halafu mimi sitaki itakuwaje hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kukataliwa kunauma hamjuagi tu. Tena kuna kule kukataliwa kinyama kabisa. Afadhali ile ya kukataliwa kistaarabu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanamke kuwa mchawi chawi hapendezi. [emoji23] [emoji13]
Yule si kama Victoria tu usifanye hivyoYule mzee sana buana cole[emoji23] [emoji23]
Tunaugulia kwenye furaha ya kutawaliwa kifikra. Ukiwa na tabia ya kuwababaikia watawala wa zamani (wakoloni) jamii itakuona wa maana. Ulimbukeni una nafasi kubwa kwenye jamii za kiafrikaHalafu na sisi hatubadiliki aisee na kuwa-prove wrong. Bado tunafanya yale yale. Imagine Afrika tuwe wazalendo kabisa kabisa na tujipatie viongozi imara tujiletee maendeleo na tuache kuwategemea hawa wabaguzi. Lakini kwanza ndiyo tuna maviongozi malafi mafisadi ya kutupwa. Bara zima utafikiri tumerogwa. Hata tukibaguliwa ni sawa tu kwa kweli. Aaaaaargh !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uwaga na feel si stahili kukataliwa kabisa bora tu ukanikubalia
Huwezi jua mkuu ooooho embu mwambie ajaribu tuoneHakuna kitu kama hicho.... [emoji13] [emoji23]
Aina mbiliIko mitongozo aina ngapi hasa?