Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

So sad!!
 
Sad.
Atleast alikumbuka kwao na kuwajali wazazi wake,leo wanafarijika kwa kile alichowaachia.
Mungu apate kutujaalia sote kuwaenzi wazazi wetu tupatapo uwezo.
Tuwatendee wema kama waliotutendea sisi wakati tuko watoto.

Apumzike kwa amani aggy[emoji120][emoji120]
 
AMEN....Wenye wazazi aisee zingatieni hili sana. When they are gone they are gone na kinachobakia ni majonzi na majuto !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…