Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
************************************
Dear ladies
Whether you know my girlfriend or not...Nkiingia inbox yako,that means nmekuja peke yangu na manifesto yangu.I didn't come with her...let's not complicate things
Are we tugesa!??[emoji5][emoji5]
 
Je wajua. je wajua..[emoji2][emoji2].

Ukichanganya :ndimu 2, majani kijiko moja ndogo soya ,maziwa 200ml na aloe vera ukoroge dakika mbili kisha uache itulie..
Ikiendelea kutulia saga tangawizi ndogo pamoja na magadi vijiko 3.. Kisha ongeza maji kiasi..
Ukichanganya utapata mkorogo ambao ata mm sijui utakusaidiaje[emoji2][emoji2]
 
Funga macho tuombe: Muumba bariki huyu rafiki ambaye amefungua macho na anasoma text hii hata baada ya kusema afunge macho! Baba naomba umsamehe kwa sababu yeye ni kichwa ngumu na anaendelea kuscroll chini ndio asome text yote. Naomba umuoshe na damu yako kwa sababu anaogopa maji baridi. Tena umpe akili ya kutunga text zake kwa sababu anafikiria vile ataforward text hii kwa mabeste zake! Tena naomba umtakase kwa sababu sasa anacheka na maombi inaendelea!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…