Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] bro bro,,carba anataka vuka mipakaMizimu ya watu hiyo acha utaumia. Bakia kwa Allah tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi huyu mzee yupo!?
View attachment 753563
Aisee Nmeikuta kwenye huo uziMods wakiiona hii mkuu unafikiri hawatakutandika ban?
Ni ya kizamani ndiyo lakini huku kwetu third world ndiyo njia rahisi zaidi...
Kama ni hivyo basi hakuna neno. Mi niliwahi weka picha ya gonorrhea kule jukwaa la madokta nikachezea ban ya wiki nzima japo kulikuwa na picha zingine mbaya zaidi na zote kutoka kwenye medical textbooks.Aisee Nmeikuta kwenye huo uzi