Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7.KUPOSTI KATIKA UKURASA WAKO STATUS NDEFU KINOMA


Ni heri hata kama unaichukua mahali hiyo status,
jua kuichuja basi kuliko unaposti status kama insha'
unategemea nani anamuda wa kusoma status ndefu hivyo
jali muda wa wenzako.
Ndio maana mwengine kabla haijamliza kujua maana yake analike tu bila kujua maana yake,
eeh!eeh! ushamchosa hivyo.
 
8.KUTAKA KUCHAT NA MTU KILA UNAPOMUONA HEWANI


Si kila wakati,
mtu anaingia facebook kutaka kuchat na watu, kuna muda,
anakuja kuchati na mtu maalumu,
lakini wewe unalazimisha kuchati
naye kila wakati,
unaandika
tu maujumbe mengi
ukiona hakujibu.
 
Ni njia/kipimo rahisi isiyo gharama, alternative ni ghari sana. Kiukwel i lather die slowly ..
Mbali na udhalilishaji huu ukigunduliwa unayo hiyo saratani matibabu yake ni tete sana hasa huku kwetu na komplikesheni kidogo tu urijali kwishnei. Sasa imagine kuwa unaifaudu misambwanda kwa macho tu. Ndiyo maana wanaume wengi wanaona ni afadhali tu kuondoka na urijali wako kuliko kuishi kibudha. Ni mojawapo ya kansa zinazotibika kirahisi ikigundulika mapema (survival rate 85+) lakini inaua wanaume wengi sana kila mwaka. Watu hawaelewi ni kwa nini wanaume wanaona ni afadhali kufa na tai zao shingoni. Ndo maana wenye pesa zao kama JK wanakimbilia kwenye mahospitali yenye viwango vya kimataifa (John Hopkins) ili kujiridhisha kuwa watapata matibabu na mitambo yao ya nyuklia itabakia salama ....
 
Hii inahusiana na ku quote watu eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…