Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Kabisa alafu yeye na Kendrick ndio kidogo wanaipa uhai game ya hiphop halisi ambayo inaonekana kuelekea kufa....Kabisa,baada ya hapo haumsikii tena,jamaa yupo vizuri kwa kweli kwake umaarufu sio ishu kabisa
Kabisa mkuuWachekeshaji wapo kenya
Na Chance The Rapper huyu pia anajitahidi sanaKabisa alafu yeye na Kendrick ndio kidogo wanaipa uhai game ya hiphop halisi ambayo inaonekana kuelekea kufa....
Hiphop za siku hizi ndio za kina Lil Uzy, Gucci gang na Migos.
OMG
Na Chance The Rapper huyu pia anajitahidi sana
Hawa watu wanazingua sana aisee, cha ajabu ndo wanaosikilizwa sana hata kwenye mainstream wapo vzr wao wanaita trap
Mkuu kwema
Mambo safi mkuu, naona tunalinda pamoja humuSafi kabisa, Mkuu! Mambo vipi?