Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mambo safi mkuu, naona tunalinda pamoja humu
Hakuna kulala, mpaka kukuche!
Mambo safi mkuu, naona tunalinda pamoja humu
Hahah pamekucha tayali mkuuHakuna kulala, mpaka kukuche!
Maskini kipigo cha goli 5 hicho,kinamfanya amsujudie PepMeneja wa Swansea Carlos Carvalhal amemuelezea meneja wa Manchester City Pep Guardiola kuwa ni mungu wa mpira wa miguu(Manchester Everning News)
Na vile jamaa anaelekea mwisho wa ukocha basi lazima amwage sifa tu ili astaafu akiwa na kumbukumbu ya kocha mwenye kiroho safiMaskini kipigo cha goli 5 hicho,kinamfanya amsujudie Pep